technology

business

ANGALIA RAIS OBAMA AKIPIGA DANADANA NA RAIS KIKWETE MAENEO YA UBUNGO BAADA YA KUKAGUA MITAMBO YA SONGAS UBUNGO

Picha hizi ni leo majira ya saa sita mchana kabisa baada ya
 Rais kikwete kuwa na Mazungumzo
na Mgeni wake Rais wa Marekani Ikulu ya Dar es salaam kabla ya
kwenda kumalizia ziara yake na kuitimisha
  kwenye mitambo ya umeme ya
 songas iliyopo maeneo ya Ubungo......!!
Baada ya Ukaguzi wa mitambo hiyo hiki unachokiona
kwenye picha ndio kilichotokea

katika kujifurahisha Rais wa Marekani Barack Obama
alijifurahisha na Mpira kwa kupiga
danadana kadhaa uku mwenyeji wake akiwa pembezoni
 mwake na kuangalia kinachoendelea....!!
Rais Obama akipiga na Danadana kadhaa huku Rais
Jakaya Kikwete akimuangalia kwa uso
wa furaha kabisa....
Tizama vitu kutoka kwa Obama....Hatari kabisa nadhani
 ata wewe ushazoea kuona  mastaa
wa mchezo wa soka wakifanya hivi lakini hapa mtu mzima
Barack Obama anatuonesha uwezo wake...!!


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health