Habari za mchana mtu wangu wa kweli,ni muda mwingine muafaka
ewe ambae ujafunga unaepata chakula cha mchana nimeamua
kukuwekea video hii uku unapata menu yao basi waeza cheki
kideo hiki sambamba kabisa pembeni bila kusahau Coca-Cola baridi
chakula kishuke murua kabisa....Napenda kukutakia mchana mwema
na Ramadhan kareem kwa wote wanaofunga...
Powered by:Coca-Cola
No comments :