Kwa mujibu wa chanzo toka marekani kinasema mchezaji kikapu maarufu nchini humo anefahamika kwa Jina la Lebron James anajianda kuikacha timu yake ya taifa marekani kwenye michuano ya kimataifa...
Shirika la habari la michezo nchini humo lilifanya maohojiano na mwanamichezo huyo na balozi wa Sprite & UN duniani alisema haya "Nimechezea sana timu ya taifa toka angali mdogo,naona sasa ni muda wa kuachia ngazi na kuwapa wengine nafasi kwenye timu,sio kwamba sipendi kuichezea lakini nina majukumu na familia changa kabisa bado inanihitaji kuilea kwahiyo naona nipunguze kazi na ninajua kuna wachezaji ambao wanaweza kushika nafasi yangu kwa moyo mmoja kama wangu.... Lebron James anaeichezea Miami Heat ambayo ndio mabingwa ligi ya kikapu marekani maarufu duniani kama 'NBA'....!! Hili linaweza likawa pigo kwa timu ya taifa ambayo inajianda na michuano ya dunia ya kikapu licha ya nchi kama marekani kuwa na vipaji vingi wenye uwezo wa kucheza mchezo huo......,Japo kuwa inavyoonekana ni kama mchezaji Lebron james ameamua kustaafu kuichezea timu ya taifa ni kuwapa nafasi wengine kuweza kulitumikia taifa....!! |
No comments :