technology

business

SIKU YANGU YA LEO NIMEFURAHI KUSHINDA HOME SWEET HOME

Nashukuru Mungu siku ya leo amenijali mengi lakini baadhi
yake ni pamoja na kupata muda wa kukaa na
mama yangu kipenzi Bi. Sandrah.
 Nikiwa nyumbani
 na mama Diamond mama....
mama Naseeb Nyumbani.....!!
Nimekuwa nipo kwenye michakato ya hapa na pale kwaajili ya 
kazi zangu za muziki na biashara kwa ujumla,
zikiwemo na show za ndani na nje ya nchi mpaka
 kufikia hatua ya kutopata muda
 wa kukaa kitako  na kuongea na mama yangu!

Siku ya leo ilikua maalum kabisa kukaa nyumbani
na mama yangu kupata mawaidha mtoto.
 kwakuwa inafahamika siku zote mtoto kwa  Mama akui''
Nimeenjoy sana kuwepo home siku nzima
 kudeka,kupetiwa petiwa na
mama yangu na malezi kama mtoto mchanga kutoka kwake....
Kiukweli Nampenda sana Mama yangu,
Hadi hapa nilipofikia namshukuru 
Mwenyezi Mungu.

Picha hizi Mbili ni Maalumu kuwajuza  mashabiki zangu wote
  leo nilivyoenjoy
kuwa home na mama yangu kwakua kitambo sana nilimiss kitu
hii ingawa tunaonana kila siku....!!
Nampenda sana Mama yangu kuliko kitu chochote
duniani ingawa nina imani hata yeye
ananipenda sana.
Much love kwa wote wanaowapenda mama zao dunia kama
 mimi Binafsi navyompenda Mama yangu..!!
Vitu hivi adimu kabisa kutoka kwa Mama.....
Nimeandaliwa Chakula cha Usiku na Kipenzi changu..
Karibuni jamani watu wangu wa nguvu....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

5 comments :

  1. asanta diamond,mie huwa najiona kama kaka watumbo moja nawe,furaha haina kipimo,nafurahi sana kuwa umemuona mama siku ya leo,kwa maana baraka zote huanzia huko huko nyombani.jitie moyo na ujue kwamba una kaka nchini kenya anayekupenda sio kwa maneno tu na pia kwa damu....you are my big bro,my mentor and my role model big time

    ReplyDelete
  2. salute,unafanikiwa sababu ya mama.

    ReplyDelete
  3. Mama anakaba mpaka penati ukishangaa utakuwa senior bachelor. Mama yako ni mama kumbela hataki wakwe watambana asimpue,chezea wa mama wa uswazi we.

    ReplyDelete
  4. JAMANI JAMANI WATU WOTE MJITAHIDI KUWAPENDA MAMA ZENU ,MTOTO ANAMPOMPENDA MAMA NAMNA HII SISI WAZAZI TUNAFURAHI SANA.MAMA NASIBU HONGERA MWAMAMKE MWENZANGU WACHACHE SANA WATOTO WENYE MAFANIKIO WAKAWAKUMBUKA WAZAZI.DIAMOND HATA KAMA LEO UNAOA MWANAMKE KAMA MWANAMKE ASIJE AKAKUDANGANYA UKAMUONA MAMA NASIBU WA KAZI GANI?MAMA YAKO MOYO WAKE MWEUPE DUA YA MZAZI INAFIKA HARAKA SANA KWA MWENYEZI MUNGU NA NDIYO MAANA UNAFANIKIWA.MZAZI AKITOA LAANA INAFIKA NA UNALANIKA KWELI.MAMA YAKO ALIKUHANGAIKIA MPAKA ULIPOFIKIA HAPA MPE RAHA YA MAISHA SASA NIWAKATI NA YEYE WA KUTULIA KULA NA KKUNYWA.HONGERA NASSIBU HONGERA SANA NINAKUPENDA NA NITAENDELEA KUWA SHABIKI WAKO KILA SIKU.MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE UENDELEE HIVYO HIVYO USIJE UKABADILIKA AU MWANAMKE AKAKUBADILISHA

    ReplyDelete


three columns

grids

health