| Mose Iyobo & Emma Platnumz alfajiri kabisa wakinisubiri Ubungo tayari kabisa kwa safari.... |
| Rama Mpauka busy on phone...... |
| Dumi Utamu vanilla.....!! |
| Safari si ndo ikaanza kuelekea Ifakara...!! |
| Baada ya Masaa 6 tulikuwa tumewasili Ifakara .....Hapa tukipokelewa na wenyeji wetu,tukiingia kwenye mgahawa kupata soft drinks''Nshamiss Coca'' |
| Baada ya Mapumziko mafupi tukiondoka maeneo hayo kuelekea hotelini....nilikuwa nimechoka sana safari ya masaa 6 kwenye Gari.... |
No comments :