Unaweza ukaona kama ni vichekesho,Ila ndio hali halisi kwa Amber rose, Rapper Wiz Khalifa na Mtoto wao Sebastian.......Tokea kiumbe huyo azaliwe alivotoka ambaer hospitali ajawahi kupanda tena kwenye gari letu..... Kila ukimpandisha ni kulia kulia na yeye so atuwezi kufanya kitu ambacho mtoto wetu kitamuhumza'' Kauli aliyosema Amber Rose akifaniwa Interview na kituo cha Habari cha Uingereza juu ya swali la kutokuonekana kuzunguka na mtoto wao mara kwa mara........Pia Amber aliendelea kusema ''Kwanza bado mdogo anaendelea kukua vizuri na sidhani kama ni muda muafaka wa yeye kuonekana onekana pasipokuwa na sababu ya msingi akifikisha umri flani nadhani Hali hiyo inaweza potea.....!!
Amber mwenye umriwa Miaka 29 Na Wiz Khalifa Mwenye Umri wa Miaka 25 walivishana pete ya Uchumba March mwaka huu kipindi Amber Rose akiwa Mjamzto...!!
Mlimbwende huyo ambae aliiyakulia umaarufu kupitia kazi zake na drama zake na kitu kikubwa zaidi ni kutoka kimapenzi na Rapper & Producer mkali Kanye west ambae kwa sasa kanye west anatoka na Mwanamitindo machachari Kim Kardashian na karibuni nao wanategemea kupata mtoto.....!!
Mwisho kabisa Amber Rose alimalizia kuwa kwa sasa wameshupalia kwenye mipango ya kulea mtoto wao kwa hali na mali licha ya kuwa Busy na mikakati ya harusi yao Hivi karibuni.......!! |
No comments :