technology

business

BIRDMAN AZIDI KUWA TISHIO,ATOA KIASI KIKUBWA MSAADA KUCHANGIA MFUKO WA SWIZZBEATZ

Wiki hii, msanii kutoka pande za Obama anayefahamika
kama Birdman. Au ka wengi wanavyopenda kumwita The
chairman of YMCB. Mmoja kati ya marapa watano wanaomiliki
 mkwanja mukbwa zaidi kwa wasanii wa HIPHOP alipigiwa
 simu na Msanii mwenzake Swizz Beats na jibu alilotoa l
iliwashangaza watu wengi.


Swizz alimpigia na kumwomba mchango wa Birdman kwa
ajili ya kuchangia Charity ya Swizz, na mazungumzo
yaliendelea na patamu palikuja pale alipoulizwa atachangia
mshiko kiasi gani alijibu hivi:


"Anything for you homie... $10,000, $40,000, $50,000,
 whatever works for you."

"The number you stopped on wasn't a bad one," Swizz
 replied, grabbing the $50,000 offer from Baby.


Birdman ni noma aliamua kuchangia $50,000
 ambazo ni sawa na shilingi 
81,250,000.00 za
kibongo.birdman anasifiwa kwa kumiliki magari makali
na private jet za kifahali zaidi.
 

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health