technology

business

MWANA F.A & VANESSA MDEE WAONEKANA PAMOJA STUDIO

Katika Hali ya kushtusha....Juzi kati picha zilionekana kwenye mtandao
wa Instangram wa Vanessa Mdee aliandikaa akiwa studio akifanya Ngoma
na Mwana F.A....
Wakionekana wakiwa Studio za MJ records Chini ya Producer
Marcho Chali wakianda Mapishi Matamu....Ingawa Vanessa Akuweza
wazi Jina La Ngoma Hiyo na wala ni nani Muhusika wa Ngoma Hiyo.
Tusubiri Tuone Mkono upi watatuletea....For More Info Pitia hapa hapa
kwenye Website yako ya Kijanja ya This Is Diamond Kwa
Habari za Town na Burudani kiujumla...!!!


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health