technology

business

CHAMELEONE KUZINDUA ALBM YAKE APRIL

Msanii wa muziki wa nchini Uganda ambaye pia anasimama
katika namba 10 kutoka top 10 ya wanamuziki tajiri zaidi
Afrika, Jose Chameleone wa Uganda, anatarajia kuifanya
 tarehe 26 mwezi Aprili mwaka huu kuwa siku kubwa sana
ambapo ndipo amepanga kuzindua
albamu yake ya Badilisha.


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health