technology

business

UNAWAFAHAMU SNIPERS?(WADUNGUAJI)


 Sniper ni specialists/wataalamu wanaoua kwa kulenga  shabaha mahiri sana wanaotumia silaha maalumu.Hponi u wale,ukishakaa kwenye target... Snipers hutimiza misheni zao aidha wakiwa peke yao yaani "one man army" au wakiwa katika pair. Sniper hutumia silaha kali, zenye umakini na zenye kiona mbali kikali ili kuhakikisha jicho lake liko karibu na adui. Sniper huwa na mazoezi makini, makali na ya kurudia rudia ili kuhakikisha anakuwa mlengaji mahiri na asiyekosea. Mara kadhaa Sniper huwa na mawasiliano complex na unit yake anayoitumikia ili kutoa taarifa makini kwa wenzake japo wengi wa Sniper hufanya kazi zao peke yao. Sniper mara nyingi hupitia mazoezi magumu, makini na imara ili kuwa bora na mara nyingi Snipers huwa ni wagunduzi wa maeneo yasiyoonwa na wengine. Hufunzwa namna nzuri ya kulenga shabaha fupi na ndefu wakitumia riffles zenye vipimo na utimilifu halisi. Snipers huweza kuhama eneo kwa haraka na bila kugundulika baada ya kuachia risasi na kumu-eliminate adui. Mara nyingi Sniper huvaa mavazi au sura zinazoendana na mazingira kama kinyonga ili kuepuka kuonekana na adui. Sniper hutumia akili zaidi na ufanisi kuliko nguvu. Pia hupata mafunzo ya kichunguzi, kimapambano, utii na kutunza siri endapo kwa bahati mbaya atatekwa na adui. Viongozi wengi duniani huwatumia walinzi hawa Snipers ili kuwa salama.
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health