1.Hurudisha furaha yako na kuondoa uchovu! Pia hukufanya ujihisi unaamani sana.
2.Hupunguza Uwezekano wa kupata Shinikizo la damu.
3.Huongeza hali ya kujiamini. Utafiti unaonesha kuwa, asilimia 64 ya watu wanaopenda kuimba hujiamini pia katika mazingira ya kawaida.
4.Hukusaidia kupunguza uzito hasa ukiimba na kucheza
5.Huondoa harufu mbaya kinywani, na Hulainisha Misuli ya Uso na kuonekana mchangamfu mbele ya jamii
6.Huondoa “Stress” kwa asilimia 80 kwani unapoimba, mwili hutengeneza “oxytocin” ya kutosha ambayo inahusika kuondoa stress na hali ya upweke
7. Hupunguza Uwezekano wa kupata kansa ya mapafu
8. Hupunguza makunyanzi usoni pia hukufanya uishi maisha marefu zaidi.
9.Hukufanya uridhike na Kusahau matatizo yako kwa muda fulani
10.Kuimba mbele ya watoto wako huchangia kwa kiasi kikubwa katika ubora wa maendeleo yao
No comments :