Tanzania inatarajia kuanza kutenga maeneo ya maalumu ya kuzalisha ng’ombe wa maziwa ili kuzifikia nchini zingine za afrika mashariki zinazozalisha maziwa kwa wingi.
Mikakati mingine ni kuboresha malisho ya mifugo ambayo uhaba wake unachangia uzalishaji mdogo wa maziwa.
Uhaba wa malisho nchini inatajwa kuwa ni changamoto kubwa inayochangia Tanzania kushindwa kuzalisha maziwa kwa wingi ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki.
Hali hiyo inamfanya mtanzania mmoja kunywa lita 45 tu za maziwa kwa mwaka tofauti na nchi zingine za Kenya, Uganda na Burundi ambazo mwanachi mmoja anakunywa lita 80 hadi 100 kwa mwaka kiwango ambacho hata hivyo hakifii kinachoshauriwa kitaalamu cha lita 200 kwa mwaka.
Akiongea na waandishi wa Habari kuhusu wiki ya maziwa inayofanyika mwaka huu mkoani Manyara, Mwenyekiti wa Bodi ya Maziwa nchini dokta Aichi Kitali alisema, kutenga maeneo ya kuzalisha ng’ombe wa maziwa na kuboresha malisho itasaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa nchini.
Akieleza kuhusu maadhimisho ya wiki ya unywaji wa maziwa kufanyikia kitaifa mkoani Manyara, Mkuu wa mkoa Dk Joel Bendera alisema itasadia kuboresha sekta hiyo mkoani hapa.
Nao baadhi ya wafugaji walisema ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu unywaji wa maziwa imechangia kutoyatumia ipasavyo.
Kauli mbiu ya wiki ya maziwa mwaka huu ni ngo’ombe wa Maziwa ni Fursa ya kiuchumi na lishe fuga kisasa.
technology
business
Tanzania kutenga maeneo maalum ya kuzalisha ng’ombe.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
three columns
cars
grids
health
we are social
like us on facebook
recent posts
Popular Posts
-
Verse1 Oh ghafla visenti sina nimerudi tandale, nimeshindwa kulipa bima, nimeuza m a dal e , re dio nyimbo wamezima tv nd io hatar e , um e...
-
MANENO MENGINE HAYA HAPA... 1.Ukitaka Kujua una mbio, tikisa mzinga wa nyuki. 2.Daily News halisomwi tandale 3.Makalio ya sufuria hayaogopi ...
-
Haya sasa! Naamini kuna vijana wengi wenye uwezo mzuri wa kuimba kitaa, sasa ni fursa yenu... Beat... Utanipenda - BEAT DOWNLOAD HERE FOLL...
-
Whatsaap:+255766640505 Facebook:Paulchazzy Instagram:Paulchazzy Twitter:@paulchazzy
tags
- -
- AIYOLA
- BIASHARA
- DIAMONDPLATNUMZ
- DIAMONDS PHOTOS
- ELIMU
- ENTERTAINMENT
- EVENTS
- Feature
- GOSPEL
- HARMONIZE
- HOT TOPICS
- INTERNATIONAL
- JE WAJUA
- JOBS
- LEO KATIKA HISTORIA
- LIVESHOW
- LYRICS
- MAAJABU
- MAHUSIANO
- MANDELA
- MAPENZI
- MICHEZO
- MUSIC DOWNLOAD
- MUSICVIDEO
- MY SONGS
- NAJ
- NEWS
- PICHA
- RUNTOWN
- SAUTI SOL
- SIASA
- Slider
- TECHNOLOGY
- UJUZI
- VANESSAMDEE
- VICHEKESHO
- VIDEOS
- YAMOTO BAND
random posts
BIASHARA
Labels
- -
- AIYOLA
- BIASHARA
- DIAMONDPLATNUMZ
- DIAMONDS PHOTOS
- ELIMU
- ENTERTAINMENT
- EVENTS
- Feature
- GOSPEL
- HARMONIZE
- HOT TOPICS
- INTERNATIONAL
- JE WAJUA
- JOBS
- LEO KATIKA HISTORIA
- LIVESHOW
- LYRICS
- MAAJABU
- MAHUSIANO
- MANDELA
- MAPENZI
- MICHEZO
- MUSIC DOWNLOAD
- MUSICVIDEO
- MY SONGS
- NAJ
- NEWS
- PICHA
- RUNTOWN
- SAUTI SOL
- SIASA
- Slider
- TECHNOLOGY
- UJUZI
- VANESSAMDEE
- VICHEKESHO
- VIDEOS
- YAMOTO BAND
flickr photos
BIASHARA
latest tweets
TECHNOLOGY
No comments :