Sijui itakuwaje ni jambo ambalo tunajiuliza wewe na mimi muda huu ata wewe ukiziona picha hizi
lakini unaweza sema kuanzia collabo hii hadi video hii basi kitakuwa kikali zaidi kikikamilika kitakuwa balaa,R.kelly feat Birdman & Lil wayne we unaionaje collabo hii....????
Baada ya audio kukamilika huu ulikuwa wakati wa kushoot video ya nyimbo hiyo inayojulikana kama ''WE BEEN ON''
Nimeamua kukuwekea picha hizi uweze kuona kilie kilichokuwa kinafanyika wakati wanyama hawa wakishugulika mbele ya camera za Director mzuri zaidi nchini Marekani anajulikana kama X...
ZICHEKI HAPA: |
No comments :