Baada ya kufanya yake ndani ya jumba la Big Brother the chase 2013,muda wake ullifikia tamati jumapili ya juzi baada ya kutolewa kwenye jumba ilo nchini South Africa..... Baada ya Tamati hiyo kufika mdada huyo mwenye mvuto huyo kutoka nchini Tanzania siku ya leo amewasili nchini majira ya saa 1 jioni na k ulakiwa na ndugu,jamaa na marafiki nzuri zaidi hata mtoto wake na mama yake mzazi walifika uwanja wa ndege wa kimataifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kumpokea sambamba wakiwa na kiongozi toka Multi choice Tanzania,Barbra.
Unaweza cheki picha kadhaa baada ya kuwasili na kupokelewa...Picha kwa hisani ya Millard Ayo... |
No comments :