technology

business

NEWS:RONALDO AACHIA PICHA MTANDAONI KUONESHA MWONEKANO WAKE MPYA.

Kwa muda sasa sidhani kama umemuona mchezaji
huyu uwanjani.....Unajua ni sababu zipi zilichangia
kuwepo hivi...??
Ronaldo de Lima mshambuliaji na mshindi wa Tuzo
 za mchezaji bira dunia alinenepa sana
kiasi cha kuwa mzito uwanjani miwshowe
kuamua kuachana na soka na kuponda
starehe...
Lakini kwa kwa sasa mchezaji huyo anaonekana
kujutia hali aliyopitia na kuamua kujifua na
juzi kupitia mtandao wake Instagram aliweka
 picha hii kuonesha mwonekano wake
mpya tofauti na hata ule wa zamani......

Tazama picha hiyo juu kisa mwenywe uangalie za chini.

Maswali ya kujiuliza je mchezaji huyu wa
zamani wa Real Madrid na Ac Milan
atarudi dimbani kusakata kabumbu....? Je
atautunza mwili wake kama ulivyo sasa
au ni mbwembwe tu....?? Mimi na wewe
tusubirie tuone yatakayojiri kutoka kwake
Ronaldo de lima...

Baada ya kunenepa lakini alikuwa angalau anauwezo
 wa kusakata soka nchini kwao Brazil.
Ronald de Lima enzi zake uwanjani.....

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health