technology

business

NEWS:MTOTO WA USHER AZAMA KWENYE BWAWA LA KUOGELEA,MAMA MZAZI TAMEKA AJA JUU

Majanga.....Mbona majanga kwa mwanamuziki huyu
 wa Marekani anaejulikana kama
Usher Raymond.....

Binafsi naweza sema kila alipangalo Mungu binadamu 

uwezi jua lakini mwingine anaweza
akatafsiri ni kama mkosi umemuandama jamaa huyu 

baada ya mtoto wake mwingine
usiku wa jana kuzama kwenye Bwawa la kuogelea 

na kukimbizwa hospitali na hivi
navyokujuza wewe hali ya mtoto huyo anaefahamika kwa jina la
Raymond V...
Wakati tukio ilo linatokea Baba wa mtoto 

huyo akuwepo nyumbani   na
tukio ilo lilitokea baada ya mtoto huyo kuingia 

kwenye maji na kuanza kufata
mdoli wake wa kuchezea ndio ghafla alishindwa kumtoa

 mdoli huyo na kujikuta akinasa
kwenye njia ya kutolea maji kwenye bwa ilo jambo

 lilowalazimu shangazi wa mtoto
huyo na dada wa kazi kuanza kupiga kelele za

 msahada hadi kusaidiwa na
waliokuwa wanafunga muziki kwenye nyumba hiyo ya star

 huyo kufika na kumuoko mtot huyo
kisha kukimbizwa hospitali.....

Swala ili limeibua utata kwa mke wa zamani wa Usher

 ambae ndio mama mzazi wa mtoto huyo
anaejulikana kama TAMEKA... kukumbushia 

ya zamani miezi 11 iliyopita
baada ya mtoto mwingine wa Usher mwenye umri

 wa miaka 11 kufariki akiwa
anaendesha ndege za kwenye maji...
Tameka ameiomba Mahakama kuangalia tena uwezekano wa yeye kupewa
haki miliki ya kuwalea watoto wake baada ya swala ili kutokea
alisema haya ''Naomba nipewe wanangu kiukweli naumia,tokea aanze kuwaangalia
mmoja nimempoteza sio baba mzuri kwa watoto na huyu tena jamani
haki iangaliwe,ajui kuangalia watoto ndicho kinachosababisha
kuwaachia watoto watu baadala ya yeye kuwa karibu nao....''
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health