Ni filamu inayonesha daktari kutoka nchini marekani
aliyejitolea msaada kuja Afrika kwa mwezi kuhudumia
wagonjwa lakini baada ya uchaguliwa anajikuta
akidondokea ukanda wa Afrika Mashariki nchini Tanzania,.
Filamu hii iliyochezewa jijini California na Nchini
Tanzania hiki ndicho kipande cha filamu hiyo unaweza
kukicheki hapa,Filamu hii inatazamiwa kuwa filamu
kubwa kuliko kutokea ukanda wa Afrika ya Mashariki.
No comments :