Yatupasa kujiuliza baada ya kuangalia picha hii,baada ya kutolewa ndani ya mjengo wa Big Brother the Chase 2013 hiki ndicho alichokifanya mwakilishi wa Tanzania,Fezza kessy.
Mwanadada huyo anaeimba na kujishugulisha na sanaa baada ya kutolewa alitimba jijini nchini South na kufanya ngoma moja ndani ya studio nguli nchini humo japokuwa akuweka bayana na wala ngoma aliyokua anaipika lakini kikubwa hapa ni kukutana na yule mshiriki wa Botswana Oneal......hakuna ajuae kinachoendelea lakini nimeamua kukuwekea picha hii uweze kuona alafu tujiulize tu.....Watu hawa wawili walikuwa wamependana kiundani kabisa kiasi kwamba kutafutana...? Je mkaka Oneal atakuja kudondosha mawe kwa familia ya Kessy achukue Jiko...?
Ni maswali ya kujiuliza but majibu watatupatia wenyewe, wewe na mimi tukae tusubirie.. Usikose kupitia Blogsite yako hii kupata updates za michezo,sanaa,burudani na kimataifa. |
No comments :