technology

business

NEWS:DE FATALITY MUSIC YAZINDUA APPLICATION YA KUPATA HABARI NA KAZI ZAO.

Kutoka De fatality kwa Producer kijana zaidi na Mshindi
wa Tuzo ya Kilimanjaro Music Award


mwaka 2012/2013 Messen Selekta na crew nzima wamezindua Rasmi
mfumo wa Application ya ''DEFATALITY MUSIC''
kwa watumiaji wa simu za Android.
Kupitia Application hiyo utafanikiwa kupata Nyimbo
 original toka De Fatality,Video za wasanii wanaofanya kazi
ndani ya De Fatality,Habari za kila siku zinazojiri
ndani ya De Fatality,Mahala show za De Fatality zitakapokuwa
zinafanyika na sehemu ya maoni kwaajili ya muziki
 wa De Fatality utakao kuwa unaupata ndani ya App hiyo..

Kuwa mjanja zaidi nenda na wakati pata App kwa
mtumiaji wa Android mapema kabisa
ni bure kwaajili yako..

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health