Juzi kati baada ya kukutwa na maswahibu ya kuendesha gari uku amelewa jana ripoti ya polisi imekamilika baada ya upelelezi kukamilika baada ya mtu mmoja kumfungulia mashitaka msanii huyu na watu wake baada ya kusema alifanyiwa fujo na wafuasi wa Chris Brown na kupigwa kisha brown kurudi studio. Tukio ili lilitokea mwanzoni mwa mwaka huu lakini apakuwa na ushaidi wowote wa kumtia nguvuni lakini baada ya ripoti kukamilika toka kwa LOS ANGELS POLICE DEPARTURE kukamilisha upepelezi umemtumia Msanii huyu barua kuwa ndani ya Tarehe 24 mwezi wa 8 Chris Brown anahitajika fika mahakamani kujibu tuhuma hizi...
Kama Brown atakutwa na hatia kwenye mashtaka haya anaweza kwenda jela zaidi ya miaka miwili na kumlipa fidia na kuwezesha polisi kumtia nguvuni alimsahambulia jamaa huyo mwingine pindi walipokuwa nje ya studio eneo la kuegesha magari... |
No comments :