technology

business

NEWS:CHEKI RIHANNA ALIVYOMWAGA RADHI KWENYE CROP OVER 2013

Mwanadada hiuyu kutoka pande za majuu amezidi kushamiri
kwenye vichwa vya habari
baada ya kuendeleza muonekano wake wa kuvaa mavazi nusu utupu 
hadi kufikia watu kuanza kumzoea kiivyo hata akiwepo mtaani...
Ili limejiri kwenye tamasha la Crop lililofanyika nchini Marekani na hiki
ndicho kilichojiri baada ya Rihanna kutimba amevalia mavazi haya,waeza
cheki picha hizi hapa kuona taswira ya kile nachokuelezea....

Ebhana Eeeh Noma sana....!!

Mambo ya Majuu haya...

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health