technology

business

NEWS:CHEKI HAPA NICK MINAJ ALIVYOPOROMOSHA PARTY YA NGUVU

Mbele huko kwa wanyamwezi katika pita pita zangu 
nikaona party ya nguvu aliyodondosha 

mwanadada Nicki Minaj baada ya kumaliza video
 shooting ya member wa kundi lake
na Producer Dj Khaleed aliamua kufanya party hii 
kama kujipongeza kwa kazi waliyomaliza
kufanya,nikaona basi isiwe vibaya nikikuwekea
 na wewe hapa ukacheki picha kadhaa
wanyamwezi walivyokuwa wanakula bata mpaka kuku aseme bata.......
Nicki Akiwasili eneo la tukio na President au C.E.O
 wa Cash Money & Young Money
Birdman saawia kabisa watu kuparty....


Mvinyo ulihusika sana kwenye party hii kama unavyoona....






Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health