Avril,Msanii wa kike anaefanya vizuri kwenye
muziki wa kenya kwa sasa.Avril anatamba na kibao
chake kipya kinachoenda kwa jina la ''SUMU YA PENZI''
yupo kwenye hatua za mwisho kuachia video ya wimbo huo
muda wowote kuanzia sasa huku kichupa hiko
kikiwa kimesimamiwa na Production nguli ya video
East africa na afrika kiujumla OGOPA VIDEOZ .....Icheki
video hii kuona kile kinachoandaliwa kwa sasa
na mwanadada Avril.
No comments :