technology

business

NEWS:ANGALIA COVER YA MANUKATO MAPYA YA NICKI MINAJ ''MINAJESTY''

Habari moto moto kabisa kwa wapenzi wa manukato 
tofauti tofauti yanayokufanya kujiskia vile utakavyo,

Mwanadada Nicki Minaj atambulisho picha ya manukato
 yake hayo mapya yanategemewa
kutoka mwanzoni mwa mwezi wa tisa kuanzia sasa..

Msanii huyo kutoka Label ya Young Money 
akizungumza na wandishi wa habari jijini
Miami alisema ''Nimeipenda sana picha hii 
itakayobeba uzito wa manukato yangu''
Alizidi kusema ''Mpigaji wa picha hii DavidLachappele 
amepatia sana kwenye
upigaji wake nimefurahi sana sababu 
muonekano wangu mpya ndio halisia 
ulivyoonekana''

Aidha Nicki minaj mwenyewe binafsi ajataja tarehe
 ya Halisia ya manukato hayo yataingia
sokoni lini wala bei yake.

Kwa habari zaidi usikose kupitia hapa hapa 
kwenye Blogsite yako hii ya kijanja zaidi.


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health