Nadhani hii itakuwa kwa mtoko mwingine kabisa,
Young Dee official video yake hii hapa.
Baada ya kufanyiwa kazi na director anaekuja
kwa kasi kwenye muziki wa Bongo kwenye maswala
ya Music Productior hapa namzungumzia Nisher
toka Arusha Town...Kuwa wa kwanza kuicheki hapa
na kufurahia kideo kipya toka kwa Young Dee...
No comments :