technology

business

NEW VIDEO:GODZILLAH FEAT JOTI -LAKUCHUMPA (KUWA WA KWANZA KUIONA HAPA)


Kama upo Bongo na ni mpenzi wa kusikiliza Bongo
 Fleva basi ukiona kichupa hiki lazima utahaamaki

Nyimbo iliyotoka mwishoni mwa mwaka jana ya Msanii 
Godzilah akimshirikisha Joti kutoka Orijino
Komedi track ilidunda kama ''LAKUCHUMPA''
 sasa naona kama Godzillah akuichukulia kimiyeyusho
kaamua kututumbukizia na Kideo kabisa yanii watu 
waelewe kile kilichokuwa kinaimbwa zaidi...
Ebu Jione Mwenye video hii alafu kisha tiririka na Maoni yako......
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

3 comments :


three columns

grids

health