technology

business

HIVI NDIVYO VIGEZO VYANGU......JE KWAKO WEWE.....YUPI NI NUMBER ONE WAKO......???

Ni maswali mengine nimekuwa nikijiuliza kwa siku
nyingi sasa lakini niliishia kupata majibu
mengi mengi lakini kutokana na hekima na ukarimu
niligundua ni vitu gani naweza fanya au
kuviona na kugundua namba moja wangu naeza akawa yupi.....
Binadamu tunapenda,tunatamani vitu vingi
sana lakini unaambiwa huezi tumikia
mabwana wawili kwa wakati mmoja,au nabidi uchague kusuka au kunyoa...

Binafsi napenda sana mtu muelewa na
mkarimu mwenye kusikiliza na kujielewa
lakini zaidi ya yote Nampenda sana Anaye
Shukuru na Kuridhika kwa Kidogo
akipatacho....Basi huyu ndiye namba
moja wangu ndani ya Moyo wangu...!!
Mimi ninaye Tayariii.........Swali kwako nakuachia
mtu wangu wa kweli.....Je wewe
Number one wako unapenda aweje....? ni
vitu gani wapendelea toka kwake...?
Ebu Funguka basi nijue wapendelea nini mtu wangu.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :

  1. As u say bro bt kingne napenda ajue thamani ya penzi,heshima awe nayo na pia awe muelewa.

    ReplyDelete


three columns

grids

health