Ikiwa hata mda wa kujulikana ni nani anatoka
leo ndani ya jumba la BIG BROTHER tayari dada yetu Feza ameonyesha
kukata tamaa na anajua leo anatoka,haya ni maneno
"Naondoka ndani ya jumba nikijivunia vile nilivyo.Nimekomaa na
nina amini nilikuwa muelewa.Mda wangu ndani ya Jumba umenisaidia kunifanya
niwe mvumilivu juu ya wenzangu na sasa najiona
naweza kuwa kiongozi mzuri"
alisema Feza,unafikiri ni kwa nini kakata tamaa kiasi hiki
mpaka kujistukia?tungoje na tuone ila kikubwa tumuombee
kwa Mungu aendelee kutuwakilisha na mwisho wa siku arudi kama shujaa
No comments :