technology

business

VIDEO:SHABIKI WA ARSENAL AKIMBIZA BUS LA WACHEZAJI WA ARSENAL TAKRIBANI KM 5


Baada ya wachezaji wa Arsenal kudondoka Asia kwenye tour 
yao ya 2013, wakiwa Vietnam walikutana na kijana ambae iliwalazimu 
kumpa nafasi ya kupanda kwenye gari lao lililojaa wachezaji pamoja

 na kocha wa timu hiyo "Wenger" na kupiga nae picha huku wakimshangilia 
kwa makofi baada ya kukimbiza gari hilo kwa zaidi ya kilometa 5....
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health