technology

business

DIAMOND HATUNAE TENA...!!!

"Diamond hatunae tena"....hiyo ndo ingekuwa heading na kichwa cha habari cha media na watu wengi kwenye social networks na simu zao za mikononi kwa siku ya jana....Kiukweli hali yangu ilikua ni mbaya sana,nilizidiwa na homa kali ya ghafla iliyosababishwa na kifua kilichonisumbua kwa takribani wiki mbili mfululizo....hadi kupelekwa Heameda Medical Clinic kwa Doctor Hery M. Mwandolela, Specialist wa Heart and Cough kwa uchunguzi na vipimo vikubwa maana hali haikuwa ya kawaida.....namshkuru Mwenyezi Mungu baada ya vipimo vyote iligundulika ni kifua cha kawaida tu ila kilisababishwa na tour na ziara nyingi nilizozifanya mikoa na nchi mbalimbali kwa mfululizo bila mapumziko ya kutosha..
kwa sasa hali yangu si mbaya sana...nawashukuru wote mliokuwa mkiniombea kupitia Blogs, Twitter, Bbm, Facebook...etc, na Media zote niweze recover.











Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

13 comments :

  1. www.onelovetz.blogspot.com we hv shared this news just now but to be HONEST that headline was and is a shock.. May God add you more life kaka..

    much love.

    ReplyDelete
  2. Dah hiyo head line ipo hot na itawastuwa wengi.
    www.wegambanews.blogspot.com
    naomba niichukue kama ilivyou.

    ReplyDelete
  3. duh pole sana jembe mungu yu mwema utakuwa mzuka soon
    ila you need mapumziko ya kutosha ili hali hii isije jitokeza tena

    get wel soon young bro

    wasafiiiiiiiiiiiii one love

    ReplyDelete
  4. Pole sana m2 wangu yu'll be good soon, in God we trust....M_DIGITAL

    ReplyDelete
  5. Pole sana C.E.O wa wasafi mola akupe maisha marefu.wish u a quick recovery mnyamwezi..big up

    ReplyDelete
  6. Oow get well soon... Ma prayers r wid u!

    ReplyDelete
  7. Pole xana man,ndo maisha lakin,one love!

    ReplyDelete
  8. Mdau tunakupenda sana saaana, aise binafsi nilikosa amani kusikia utata ulokupata, pumzika babaa halafu weka schedule kiasi zisippitilize saaana, nakuombea agua ya haraka halafu maisha mema, nakutafuta sana lazima utanipa miadi siku moja

    ReplyDelete
  9. Usirudie weka headline kama hii.
    Mshukuru mungu umepona
    Ameen

    ReplyDelete


three columns

grids

health