technology

business

RIHANNA AZINDUA MANUKATO YAKE MAPYA (ROGUE)

Mwanadada Rihanna azidi kuendelea kushamiri kwenye game ya muziki lakini
amezidi kutengeneza vitega uchumi vingi vya kujiingizia hela zaidi ukiachia
kazi zake za muziki.....

Mwanamuziki huyo usiku wa tarehe 18 amezindua Manukato yake mapya kabisa 
ambayo yanaenda kwa jina la ROGUE ambayo Chupa ya kwanza ilinunuliwa 
kwa Dola za kimarekani elfu 52 kwenye Mnada na Tajiri kutoka 
nchini Thailand,jijini New York....
Manukato hayo ambayo yameanza kuuzwa kuanzia leo kwenye
maduka wameonekana wakimiminika wakinadada kununua manukato
hayo ambayo yanauzwa Dola 85 sawa sawa na laki moja na elfu kumi na moja elfu
kwa pesa ya kitanzania......
Kwa wewe mdada na shabiki wa Rihanna unaweza pata manukato haya kwa
kununua online na kupata manukato haya ambayo mwanamuziki huyu
kwa mara ya tano sasa anatoa aina tofauti za manukato ya kike....


Hizi ni baadhi ya manukato na miaka zilivyotoka za Mwanadada Rihanna....

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health