Tarehe 7.7 Siku hii wamezaliwa watu wengi sana dunia lakini moja wapo akiwemo msanii Ambwene Yesaya ari maarufu kama A.Y nae amezaliwa tarehe kama hiyo... Msanii huyo mkubwa na nguli wa nchini humu katika kusherekea Mungu kumjalia kuona Ungwa nyingine ya mwaka wa maisha yake alisherekea pamoja na rafiki zake wa karibu kwenye sherehe ambayo iliudhuriwa na watu wa karibu na A.Y Kutokana na A.Y kutotaka watu wengi bali ni familia na marafiki wa karibu tu... This is Diamond inamtakia maisha tele na baraka nyingi juu yake,Hekima na maarifa yatawale juu yake.....
PICHA 10 ZA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA A.Y: |
No comments :