technology

business

OPRAH WINFREY MWANAMKE MWENYE MSHIKO MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

Ukizungumzia Mwanamke mwenye upeo mkubwa na
 mwenye maendeleo duniani basi hautakosa kusikia
Jina ili kwenye Masikio yako......OPRAH WINFREY..

Oprah ambae amejipatia umaarufu kupitia kipindi chake
cha televisheni cha Utangazaji
kilichokuwa kinaeenda kwa jina la Oprah Winfrey Show
 na sasa kinaitwa OWN....
Mwanamama huyo aliezaliwa Mwaka wa 1954,January
29 ndani ya nchi ya Marekani jiji la
Mississipi....!!
Mwanamama huyo kwa sasa ndie mwanamke mwenye
kisu kirefu na kikali zaidi duniani  kwa mujibu wa
mtandao wa FORBES yanii
hapa nikimaanisha ni mwanamama mwenye hela nyingi
kupita wanawake wote duniani na ndie
mwanamke mwenye ushawishi mkubwa kwenye maswala ya kijamii....!!
Mwenye utajiri ufikiao Dolla za Kimarekani 423 kwa
mwaka 2012-2013 june....
Bado akiwa amechangia vitu vingi kama miradi ya maji
kwenye bara la Afrika na sehemu mbalimbali
Afrika na duniani kiujumla......
Kwenye List hiyo Oprah ameweza kukaa akiongoza kwa
 muda wa miaka 6 akiwa mwanamke mwenye mshiko mrefu
huku anaemfatia kwa nyuma ni Beyonce & Lady Gaga
ambae amewaacha kwa mbali kabisa.....!!

Makala ya leo nakuletea Picha kadhaa za mwanamke
 huyu mwenye nguvu ya kipesa na mjenngo ambao
anaumiliki wenye thamani ya dola za kimarekani mil 62....
Zicheki picha 3 Kuona mjengo huo...!!
Oprah akiwa na Rais wa Taifa Lake Barack Obama na
First Lady Mama Mitchelle Obama...!!
Hili ndio jumba la mwanama Oprah linavyoonekana kwa upana....!!
Kwa Upande wa Juu wa Kulia hivi ndivyo inavyoonekana...!!


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :

  1. Folorunsho Alakija (Nigerian) she the richest black woman not Oprah.

    ReplyDelete


three columns

grids

health