Hii ni nyuma ya pazia ya Msanii Shilole akihojiwa kwenye Take One ya Clouds tv na zamaradi Mketema... interview hiyo ambayo yakipekee kabisa haikufanyiwa Studio kabisa bali ilifanyika
nyumbani kwa Msanii Diamond ambapo mwanadada Shilole alikuwepo pia kama mgeni mualikwa kuja kufturu.....
Shilole ameweza kufunguka mengi juu ya mustakbali wake na kazi ya muziki..., Faida za muziki na safari nzima yake nchini Marekani na kipi alichofaidika nacho.... Unataka kujua Shilole anatarajia kufanya Collabo na Msanii gani wa Kike nchini Marekani....? Je unajua nini asa kimemkera Shilole ndani ya mwezi huu pindi yupo nchini Marekani..? Basii hii si ya kukosa kabisa,TAKE ONE ya Clouds Tv ndio habari ya mjini wikii ijayo jumanne saa 9:30 usiku Usikose.....!! |
No comments :