Hapa tunamzungumia Msanii Curtis James Jackson III maarufu kama 50 Cent kutoka nchi marekani...Aliezaliwa mwaka 1975,july 6 jijini New York,New york city.... Leo nataka nikujze jambo dogo tu lakini kama mpenzi na shabiki wa Msanii huyu waeza ukawa ujui ili lakini ata kama wajua basi nakujuza tena..... Mnamo mwaka 2003, 50 Cent ndio mwaka aliotoka akiwa na Album yake ya kwanza iliyoenda kwa jina la Get Rich or Die Tryin ambayo ilisimamiwa na Producer nguli nchini marekani Dr.dre na msanii wa hip-hop Eminem na kusimamiwa na Kampuni la Interscorpe......
Msanii huyo ndie msanii wa kwanza kuuza Album nakala mil 12 kama toleo lake la kwanza kwenye muziki......na Alnum hiyo ilibeba nyimbo tano tu Album hii ilifanya vizuri kupitia muziki uliobeba Album In da Club ambao ulipendwa sana.... Hiki ni kitu moja wapo hadi leo kinamuweka msanii huyu kuwa juu kupitia kazi yake sana kutokana na kukubalika sana nchini kwao na duniani kiujumla...!! Kama msanii kutoka kimuziki na kufanya vizuri ndani ya toleo lake la kwanza kwenye muziki upande wa Hip-Hop....!! Ni hayo tu niliyokuwa nikujuze kutoka kwa msanii huyu toka nchini Marekani...... Usikose kutembelea Blogsite yako hii kwa habari,makala,michezo na burudani....!! |
No comments :