technology

business

LUNCH TIME:TUNDA MAN-DEMU SIO



Muda umewadia midaa ya mahakuli kabisa kwa wale ambao awajafunga
 basi nakushushia kichupa hiki kikali toka kwa Tundaman uweze 
kukiangalia sawa sawa ukiwa unapata chakula chako bila kusahau 
pembeni ukiwa na Coca-Cola Baridi chakula kishuke saawia kabisa....
Nakutakia Mchana mwema mtu wangu wa kweli na Swaum Maqbuul kwa 
wewe uliefunga,Ramadhan Kareem...
 Powered By:Coca-Cola
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health