![]() |
Habari watu wangu wazito..kwa mda sasa mmekuwa hampati updates kutoka kwenye website yetu pendwa ya thisisdiamond.com hii ni kutokana na mabadiliko niliyokuwa nikiyafanya ikiwa ni pamoja na kufungua official fan page ya website page imeshafunguliwa na kuanzia sasa utapata upadates zote kutoka kwenye website yangu,unachotakiwa kufanya ni kulike hiyo page inaitwa OFFICIAL-Thisisdiamond.com au fuata link hii..ahsanteni sana na unapolike mjulishe na mwenzako ili tuwe na familia kubwa zaidi...hii ni maalum kwenu kuwa wa kwanza kupata official updates zangu na habari za burudani,michezo na makala ndani na nje ya nchi.....Soma alama za nyakati mambo yapo huku...Basi Gonga like yako hapo...https://www.facebook.com/pages/OFFICIAL-Thisisdiamondcom/180192258823754?fref=ts |
Home
/
/ Unlabelled
/
HII INAKUHUSU SANA KAMA MDAU NA SHABIKI WA KWELI KWANGU....!!
HII INAKUHUSU SANA KAMA MDAU NA SHABIKI WA KWELI KWANGU....!!
Tagged with:


yeeea thats gud ma men...blessin
ReplyDelete