Huu ulikuwa wakati maalumu kwaajili ya Dua takatifu kumuomba Mwenyezi Mungu Rehema zake zitawale juu yetu na kutuepusha na mabaya ya dunia na kutufanyia wepesi kwenye maisha yetu ya kila siku sambamba na kuwaombea wasiojiweza,yatima,wajane,wagonjwa na vilema...
Namshukuru Mungu kwa kufanikisha jambo ili kwenda kiufasaha zaidi,napenda pia kumshukuru kila mmoja alieweza kujumuika na mimi na familia yangu kufanikisha dhifa hii........
Napenda kuchukua nafasi hii kukujuza kwa picha mtu wangu wa kweli waeza cheki picha za tukio zima wakati wa Dua inasomwa nyumbani, home sweet home kwa mama Naseeb Sinza...... |
MASHALLAH......Mapenzi tele kwa watoto, Mwenyezi Mungu azidi kukubariki
ReplyDeleteGod bless you dear
ReplyDeleteThat Great God bless u Son
ReplyDeletebig up diamond
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDiamond mwenyezi Mungu akuzidishie kila rakheri mwezi huu mtukufu wa Ramadhan umeweza kufutulisha umeweza kufuturu na mazazi wako pia naona hapa umekumbuka kusoma duaa na umekumbuka kuwa pamoja na kufuturu na watoto yatima baraka za mwenyezi Mungu zisikupungukie nikutakie kila rakheri katika mwezi huu mtukufu usiwasahau masikini pia hata kwa sukari kilo moja tu kwa kila mmoja naamini utafanikisha hata kama si kwa sasa hata fitli
ReplyDelete