Hiki ni kile tunachosema kwa lugha ya wenzetu HARD WORK PAYS, nikimaanisha ukijituma lazima
matunda ya kazi yako ufaidi.....Mwanamuziki anaefanya poa sana kwenye gemu la muziki wa Rap nchini marekani,Meek Mill toka lebo ya Maybach Music Group amenunua mkoko mpya kabisa Aina ya Ferarri ya mwaka 2013 ikiwa na vifaa maalumu..... Aidha akuweka wazi kipindi alichokuwa akifukuzia gari hiyo lakini mkoko huo unakaribia thamani ya dola za kimarekani $623,000.8 kwa thamani toka google na kampuni ya magari ferarri lakini gari hii imeongezwa manjonjo mengi kiasi kwamba inategemewa kuwa ni zaidi ya gharama hizo..... Hongera sana kwa jamaa kazi yake ndio inamfanya aweze kufanya yote haya kazi kwako na kwangu kuamini kile tunachofanya tuweze miliki zaidi ya haya..... |
No comments :