Hii ni kwa wapenzi wa magari haswa haswa kwa vijana wa kileo,
nimeamua kukuwekea video hii uweze kuona kampuni ya magri nchini
aina ya Bentley EXP 9 ambayo karibuni wataizindua...... Utengenezwaji
wa gari hiyo unategemea kugHarimu zaidi ya dola za kimarekani dola
milioni 1.2 na inategemewa kutoa ajira zaidi ya 1000....Watu wengi wanasubiria
kuona muundo huo mpya wa gari hiyo,je itakuwa kama muundo uliopita
wa mwaka 2012...? Basi wote tusubirie,unaweza kuicheki video
hii kujionea mwenyewe..!!
No comments :