Usiku wa Jumatatu ulikuwa usiku wa kukumbukwa sana kwa Familia ya Mr Carter,hapa namzungumzia Jay-z na mkewe Beyonce Knowles ambao siku hiyo walikuwa wakitimiza miaka kumi ya Club yao hiyo inayoenda kwa jina la 40/40.... Baadhi ya mastaa wa muziki na wachezaji wa kikapu waliudhuria hafla hiyo ambayo wageni waalikwa tu ndio walioruhusiwa kuingia na kadi maalum kwenye shuguli hiyo iliyofanyika jijini New York..... Hiki ni kimoja kati ya vitega uchumi vya msanii huyu kwa ujumla ukitofautisha na vitega uchumi vingine na hivi karibuni Jay-z baba wa mtoto mmoja Ivy amesaini dili ya pesa ndefu sana kutangaza Simu za Galaxy kutoka kampuni ya Samsung...... |
No comments :