| kabla ya wasaa wa kuuaga mwili wa marehemu Nikijadili jambo na Shilole |
| Snura wa majanga akiwa na Doctor cheni |
| Mwili wa marehem Ngwair ukiwa ndani ya jeneza tayari kwa taratibu za kuuaga |
| Kaka mkubwa,pro,Jay akiwa na Mez B, Member wa kundi la chamber squad |
| Madee(kati kati) |
| Doctor Cheni |
| ni vigumu kuamini lakini ilinibidi nikubaliane na ukweli kuwa kaka angu kimziki Umeondoka nenda kwa amani .... |
| Comedian,Joti |
| Stamina |
| Dada Keisha |
| Izzo Bizness |
| Producer Maneck |
| Mwanamziki,Mad Ice |
| Nyandu Tozzy |
| Mama wa Monalisa akiwa uso wa huzuni na uchungu |
| Dada yangu Monalisa |
| Kalapina |
| Lord Eyes(mwenye kofia na tshirt yenye mistali) |
| Member wa kundi la WEUSI,Joh makini |
| Abdul Kiba |
| Kulwa Kikumba(Dude) |
| Ben pol |
| Akiri the Brain |
| Mb Doggy |
| Dark master aliekaa kati kati akiwa na uso uliotawaliwa na huzuni na kutoamini kama mtu wake wa karibu hatomuona tena |
| Ulinzi wa mbwa nao ulihusika....... |
| Kaka angu Fid Q |
| ikawa zamu ya Kaka yetu Prof,Jay........ |
| Brnaba boy,Mkubwa Fella na Zolla D |
| Nick mbishi |

poleni wote kwa ujumla,familia,marafiki,wanamusiki,na wote walio jitolea kwenda kumpa heshima za mwisho ndugu yetu..nasi kenya tulikuwa na dakika ya kimya kwake,ama kweli mungu anatupa,pia ndio mwenye kuchukua..R.I.P ALBERT
ReplyDelete