technology

business

NELSON MANDELA BADO YUKO HOSPITALIN SIKU YA NNE SASA

Duru kutoka kwa ofisi ya rais Jacob Zuma,
 zinasema kuwa Mandela mwenye umri wa miaka 94, yuko
 katika hali mbaya ingawa
imeweza kudhibitiwa. Taarifa 
zinazohusiana Afrika Kusini Jamaa zake pamoja
 na aliyekuwa mkewe Winnie Madikizela-Mandela,
 walimtembelea hospitalini Jumatatu Mwanawe Mandela 
Zenani (Mandela-Dlamini), pia alirejea kutoka nchini
 Argentina, ambako yeye ni balozi. Serikali imekuwa
 ikisema kuwa hali ya Mandle inatia wasiwasi ingawa 
madaktari wameweza kuidhibiti. Amekuwa katika chumba
 ya wagonjwa mahututi tangu kulazwa hospitalini Jumamosi
 kwa mara ya tatu mwaka huu. Mwezi Disemba , bwana 
Mandela alilazwa hospitalini kwa siku 18 baada 
ya kupata maradhi ya mapafu, Kumekuwa na taarifa za 
simanzi kwa mara ya kwanza huku familia yake ikikusanyika kando yake,
 baadhi ya watu wakisema
 kuwa ni muda wamwache Mandela
 aende zake. Bwana 
Mandela, mwenye umri wa miaka 94, alipelekwa hospitalini mapema 
Jumamosi , ikiwa ni mara ya tatu kulazwa hospitalini mwaka huu.
 Kwa mujibu wa duru za urais, 
Mandela amekuwa akiugua kwa
 muda mjini Johannesburg baada 
ya kukumbwa tena na ugonjwa wa mapafu. Msemaji 
wa serikali Mac Maharaj amesema kuwa maafisa katika hospitali 
wanataka kudhibiti idadi ya watu wanaozuru
 hospitali hiyo ili wampunguzie bwana Mandela usumbufu. 
Alilazwa hospitalini baada ya hali yake kuwa mbaya zaidi mnamo 
Jumamosi. Kwa mujibu wa taarifa za urais, Rais 
President Jacob Zuma, amerejelea wito wake kwa watu nchini
 Afrika Kusini kumuombea Madiba wakati huu anapougua...
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health