Imeripotiwa kuwa mtoto wa marehemu Michael jackson,
Paris Jackson amekimbizwa hospitalin
baada ya kufanya jaribio la kujiuwa
Jackson Paris mwenye umri wa miaka 15 sasa,alikimbizwa
hospitali mapema
Jumatano asubuhi
na vyanzo kutuambia ilikuwa jaribio kujiua.
Paris akiwa mtoto,hapa yupo na marehem baba yake
ripoti inasema kuwa alijiovadozi kwa
dawa ambazo bado hazijafahamika
Ndugu wa karibu na Paris jackson wameuambia mtandao wa
TMZ toka America kuwa hiyo yawezakuwa si jaribio la kwanza
kwani ana alama za kujichanja
kwa kifaa chenye ncha kali kwenye mkono wake.
Siku moja kabla ya tukio hilo,Paris jackson
alitweet maneno yafuatayo yenye mafumbo:
“I wonder why tears are salty?” …
na “yesterday, all my troubles seemed so far away now
it looks as though they’re here to stay.”
No comments :