technology

business

MILEY CYRUS AKUBALI KUFANYA COLLABO NA JUSTIN BIEBER

Star kutoka Hollywood Miley Cyrus ameweza kufunguka kupitia
 radio station nchini marekani
kuhusu ukaribu wake na mwanamuziki kutoka Marekani
pia Justin Bieber......
Hali hio imekuja baada ya kuzushwa kwa kuwa wawili hao kuwa
karibu kupitia social networks
ya mtandao wa Twitter baada ya mara nyingi kuonekana
kuongea wazi wazi.....
Miley Cyrus star wa muziki na mcheza filamu aliejipatia umaarufu kupitia
Movie moja ya series iendayo kwa jina la Hannah Montana....!!
Akihojiwa na Radio station hiyo,mtangazaji alimuhuliza kuhusu ukaribu wake
na star huyo kutoka canada Miley alifunguka hivi....
''Mimi na Bieber ni marafiki tu na tunapenda urafiki wetu,kwanza
 nilikuwa situmi twitter,
kama unakumbuka natumiaga twitter nikiwa karibu kutoa album
 na movie zangu lakini
mara nyingi uwa nipo nipo tu.....Bieber alinitafuta kutokana na
 jambo lingine lakini
kutokana na ili kuzuka sina budi kusema kile ambacho bieber
alinitafutia kuweka wazi
kila kitu na kutoa maneno yanayozaga.....Bieber alinitafuta kufanya
nae kazi, kufanya nae
collabo lakini nilikuwa sijamjibu lakini kupitia hapa hapa bieber
anaweza akatambua sasa
Mimi binafsi nimekubali kufanya nae collabo,sasa ni yeye
 tu ajipange na aseme
ni kipi alichokuwa anataka kufanya...nadhani mtakuwa
umehelewa ukaribu wangu na
Bieber.......

Hayo ndiyo aliyosema Mwanadada mwenye umri wa miaka
 20 miley cyrus akimjuza
pia Justin Bieber kukubali collabo na yeye.....
Kwa upande wa Bieber alionekana akionesha furaha yake kupitia twitter akisema
''anajisikia mwenye furaha sana siku ya leo,sidhani kama siku hii itapita bure
lazima niserebuke na watu wangu wa karibu.....vitu vizuri kuja karibuni...''
We unaonaje.....? furaha hii imekuja baada ya kupata taharifa kutoka
redioni kuwa Collabo yake imekubaliwa au ni kuna mengine ambayo yanamfanya
Bieber kuwa mwenye furaha zaidi.....
Tusubiri tuone kitakachojiri....Collabo kati ya Justin Bieber na Miley Cyrus....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health