Mama angu mzazi bi Sandrah ambae alienda kuniwakilisha akiwasili maeneo ya kigogo msiba ulipokuwepo akiwa na dada angu Esmah Khan.... |
Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina Barnaba kutoa heshima za mwisho..! |
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!! |
Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana mara ya mwisho na mpendwa wako.... |
Barnaba akiagana na Mama ake kwa mara ya mwisho.....!! |
Madee akiwa na Lady Naa......!! |
Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!! |
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T) |
Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini kwaajili ya maziko kumpumzisha Mama....!! |
Esmah Khan & Hawa ntarejea walikuwepo kuwafariji wafiwa... |
Hapa mwili ukiwa umewasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...! |
Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!! |
Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kwenye kaburi la marehemu mama yake |
Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia hatua ya kutokuweza kusimama, ilibidi asaidiwe...!! |
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!! |
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukiwa na mchanga.....! |
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!! |
Producer Lamar wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...! |
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa... |
Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!! |
Simple the Boy alionekana kuwa mbele kwenye ratiba ya makaburini kuakikisha mipango inaenda sawa...!! |
Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini ..!! |
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya marehemu Mariamu Arubeth...!! |
Msemaji wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! |
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! |
Nashukuru mama yangu mzazi na familia yangu kwa ujumla kwa kuniwakilisha vyema kwenye msiba wa mama mzazi wa mwanamziki mwenzangu,Barnaba,hapa ilikuwa ni baada ya mazishi wakielekea nyumbani |
Pole sana ndugu yangu.....Barnaba. Inatia uchungu sana kupotelewa na mpendwa mama mzazi. Lakini yote hayo mipango ya Jalali....wote tuko kwenye safari...
ReplyDeleteMay her soul REST in ETERNAL PEACE.....
ReplyDeletePole sana ndugu yangu ni kweli inauma sana hata wala hatuna la kukusaidia ila mwenyenzi mungu akutie nguvu na akuondolee uchungu uliozidi ambao waweza kuleta madhara mengine.
ReplyDeletepole sana barnaba napongezi zako platinum kwakuonyesha mshikamano kwa wenzako wanapofikwa namatatizo
ReplyDeletePole sana Barnaba, tuombe heri
ReplyDeleteMungu atakuongoza kusahau yote
pole sana barnaba mungu akutie nguvu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.inauma inasikitisha sana mungu akutie nguvu pole sana sisi wadau wa diamond tuko pamoja na wewe katika maombelezo
ReplyDelete