Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja |
Baadaya kutoka Airport nilifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha nchini Comoro.. usikose kutembelea this is diamond kujua chochote kitakachoendelea ..nawapenda nyote |
kaka 2pia kideo
ReplyDeleteyou gonna kill us PLATINUMZ
ReplyDeletefanya mpango wa vdeo 2one bhana
ReplyDeletehapooooooo ndiyo nilipokuwa napataka.diamond upo juu unapendwa kila sehemu.wenye wivu wajinyonge.
ReplyDelete