technology

business

BUSY DAY;PICHA ZA INTERVIEW YANGU NA KIPINDI CHA BONGO BEATS

Siku ya jana ilikuwa ni moja ya siku niliyokuwa
 busy sana ,nilikuwa na ratiba ya kuingia
studio kuongeza madini mengine

pia nilikuwa na ratiba
ya kujiandaa na safari yangu ya nchini Comoro
 ninakoenda kufanya Show nikiwa katika
 mishe hizo nilipata
simu ya dada angu Sauda wa kipindi cha Bongo beat akinitaka tuonane kabla sijaondoka na tufanye interview,naheshimu
 sana media so sikuwa na hiyana so nilienda
tukafanya interview moja ya kinyama sana(dont miss it)

na hizi ndizo picha za interview ilivyofanyika
 nyuma ya camera nikiwa na mnyama wangu wa WASAFI Kisula wa kiface

        


Nikiwa njiani
Nashukuru nilifika on time

Nikisalimiana na dada angu Sauda akiwa na team
 yake ya Bongo beat tayari kabisa kwa kuanza kipindi

.....................and action

Tunaanzatu..Sauda akaniuliza swali la
 kichokozi chokozi,basi me nacheeka

Nikifafanua jambo 

Kisula bwana...ndiyo nini kupiga picha migongo

Jua lilianza kufanya yake ikatubidi tuhamie sehemu yenye kivuri kizuri






Siku zote huwa ni lazima nifikilie kwa umakini
kipi sahihi kujibu na kipi sahihi kuzungumza





Siku zote kwenye matukio mhimu kama haya n
i lazima nipendeze na behind huwa
kuna mkono wa Baby,the one&only Penny...kwani
 nani ananuna hapa??

Tukiwa ukingoni kabisa..nikitoa nasaha zangu kwa
 wasanii wenzangu na pia wote
wanaotamani kufanya music wenye mafanikio

                                                                             
Baada ya zoezi kumalizika Nikiwa na team ya Bongo beat

Nikiagana na host wa kipindi..bibie Sauda..




Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

2 comments :

  1. Your Handsome boy,hongera sana Pen kwa kweli unamtunza Diamond anaonekana kweli Mchumba wa mtu.nilichogundua Diamond anapoamua kupenda anapenda kweli na anakuwa wazi basi wanawake hamjamuelewa kwa hilo,Nasikia muda mwengi anakutaja sana Peni ni wanaume wachache sana wanaokuwa wazi juu ya wapenzi wao kwa hilo unapaswa umuheshimu sana kijana hy na utulie ili mwenyezi mungu akikujaalia mfunge ndoa.Mwenzako namuona yupo wazi sana mtu anapokuwa wazi anajiamini na ujue hana mwingine zaidi yako.kwa vile ni ster na kazi zake zinapendwa na wengi utaona watu wengi wanampenda lakini chaguo lake ni wewe Pen akihojiwa anakuwa wazi juu yako linda heshima yake anayokupa.niwatakie maisha mema yenye amani na furaha achana na hao waliopita walishindwa kumuelewa Diamond ndiyo maana leo hii yupo sana wazi kwako.safari njema ya Comoro nasubiri mambo yote ya comoro kwenye Blog

    ReplyDelete


three columns

grids

health