technology

business

PICHA YA SIKU : DIAMOND NDANI YA GWANDA LA JESHI YA JAMUHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO


Picha hii ilipigwa juzi kati baada ya Diamond Platnumz #1
TZ Brand kuwasili Rasmi kwenye
ardhi Ya DRC,Makini kabisa kuporomosha show ya
nguvu Nchini Humo.....!!#
Umati wa watu ulifrika kumpokea Toka Airport
mpaka Hotelini....!!

Kama kawaida yake alipenda kuwajuza mashabiki zake
ulimwenguni mzima ,Hususani
mashabiki wa Nchini Congo kuwa yupo kwenye ardhi yao...!!
Alitupia Picha kupitia Mtandao wake wa Instangram
akiwa amevalia magwanda ya Jeshi la Jamuhuri ya
Kidemokrasia ya Congo kuwajuza vilivyokuwa
mtoto wa Sandrah Sami,Sukari ya warembo,Mtoto wa
Kimanyema tayari yupo DRC
Kufanya mauaji na kuach historia kila sehemu anayopita.....!!
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health