technology

business

HILI NDILO GARI JIPYA LA MSANII WIZKID KUTOKA NIGERIA,AINA YA PORSCHE PANAMERA 2013...

Picha hii msanii Wizkid kutoka Nigeria alipost kupitia mtandao
wake wa Instangram
Akionesha mashabiki zake Gari yake Mpya Aina ya
Porsche Panamera ya mwaka 2013,
Ambayo gari hiyo inategemewa kuwa zaid ya
dola za kimarekani laki 400,000/=

Nikaona isiwe vibaya nikichukua picha nije kushare
na wewe unaepitia mtandao wako huu wa
This Is Diamond ili uende sawa na Dunia.......
Gari hio aina ya Porsche Panamera kwa muonekano wake wa Nyuma...

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health